Kipengele gani?.
Oooh yule aliyeigiza kwenye filamu ya Sarafina au? [emoji15]
ameigiza girlfriend!Oooh yule aliyeigiza kwenye filamu ya Sarafina au? [emoji15]
Yah yule Mama alistahili.
Best film- siyabonga,na huyu ndiye aliyepaswa kuwa best actor
Ooh mimi siwajui hata kidogo.
Gabo