Ok nikiunganisha dots naona kama wamefanana... maji hufata mkondo... sipendi bongo movie ila huyo bibi na mwanae huwa nawaona sometimes..
Ok nikiunganisha dots naona kama wamefanana... maji hufata mkondo... sipendi bongo movie ila huyo bibi na mwanae huwa nawaona sometimes..
Huyo bibi nadhani alipenda kuigiza na Kanumba pamoja na somebody MAGALI..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi na dawaWashamaliza haya wasanii wakalalanee wakumbuke tu Ukimwi upooo !!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Washamaliza haya wasanii wakalalanee wakumbuke tu Ukimwi upooo !!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
majaribu sana
Mzuri hadi aibu. [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Atakuwa amefuta misemo.Gabo naona kaishiwa misemo'
Naweza kupata tena picha ya Wema?Washamaliza haya wasanii wakalalanee wakumbuke tu Ukimwi upooo !!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana miaka 40 huyo Dada hapoooMzuri hadi aibu. [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ulitaka wavae neti za 6*6
Woooow! Mzuri sana nimetokea kumpenda.
Nitumie nicheke.
Woooow! Mzuri sana nimetokea kumpenda.
Aisee, unamjua sana itakuwa. Ndiyo maana watu wakija Dar hawarudi huku tena.