Hii ni aibu aisee...jamaa hawapo organize kabisa.Anasubiri avae nguo yake ya pili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hizo maiki walizovaa hawajui kuwa tunasikia????
Sent using Jamii Forums mobile app
Zerooo kabisaa hawaaa!!!!Watumieni hata message hao mahost jamani wanajikanyaga sana!
Wanaboa mnoooo!!!Sidhani kama hawa jamaa walijipanga!
Wameharibu sijawahi ona kituko kama hiki.
Hivi hakuna mbongo wa kumpa tuzo wampe Prtitika Rao sijuii au hapa Africa?!!!mfyuuuu zaooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hakuna mbongo wa kumpa tuzo wampe Prtitika Rao sijuii au hapa Africa?!!!mfyuuuu zaooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa MC Pilipili..huyo ni bure kabisaIshu kama hizi Salama Jabir,Mc Pilipili,Dk Cheni,Mwarabu wa Dubai (Mpoki) na Joti ndo viwango vyao.
Sawa mmeeelewaa!!alijitahidi Dada kutoka India mpk bongo halafu ni bonge la star Kule Bollywood yeye na Dada ake Amrita Rao!!!
Toa MC pilipilo...huyo ni bure kabisa