Walisubiri aondokee!!Alafu huyo bidada si alikuwepo mwaka jana?
Walikuwa wapi kumpa? Daaaaah hata siwaelewi [emoji2363]
Hio inaitwa Recognized Mkuu.
Akili ndogo huzaa matope sasa ana nini huyo atakupa nini ukikaa nae
Mkuu maisha ni furaha uache Moyo wake ufurahie kie ukipendacho.
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hakuna mtu mfupi inategemea umesimama na naniJotiiiiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwala mambo vipi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hakuna mtu mfupi inategemea umesimama na nani
Sent using Jamii Forums mobile app
🤔🤔🤔🤔So mwakani anapewa Shahzade?[emoji38]
Hahaha Shunie ni kafupi sana ndiyo maana kanapenda kuvaa high hills.
Aah!wapi mrefu na wala havai high hills!!!Hahaha Shunie ni kafupi sana ndiyo maana kanapenda kuvaa high hills.
Namjua na alivyo andunje hata hawezi kuja hapa.
Namjua na alivyo andunje hata hawezi kuja hapa.