T Bag nae alihuzunika kifo cha Brad Bellick

T Bag nae alihuzunika kifo cha Brad Bellick

strongest

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,562
Hii ni picha ya TBag baada ya kupewa taarifa na Fernando sucre kwamba Brad bellick amefariki

T Bag alikua alikua na moyo mgumu ila alivyopewa taarifa ghafla alipata mshangao , hakuamini mwishowe alihuzunika sana .

officer bellick dakika za jion kabsa hatunae
images - 2025-02-28T195050.333.jpeg
 
Umenikumbusha kina dj mark na kina ommy wa arusha bwashee.🤣🤣😅 bila kumsahau dj afrooo wa hapo kenya cheki manenooo kwa introooooooodaction manze😂
 
iyo picha haihusian na kushangaa taarufa za msiba . alipewa taarifa za msiba akiwa ofisini kwake wakina Sucre wakitoka underground . iyo picha alishanga baada ya kuwaona akina Scofield na sucre waliokua wanamtafuta.
 
Umenikumbusha kina dj mark na kina ommy wa arusha bwashee.🤣🤣😅 bila kumsahau dj afrooo wa hapo kenya cheki manenooo kwa introooooooodaction manze😂
mimi na uzee wangu sku mojamoja lazima niwatch picha anayotafsiri dj afroo
 
Back
Top Bottom