saadmad
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 573
- 295
Wana Jf Naomba mungu hawa jamaa wasifanye madudu kama walivyo fanya mwaka jana yaani students hayupo katika list ya wanaotakiwa ku reapply for second round na vilevile hayupo katika missing details list. Ikiwa na maana yupo katika selected applicants ila waja kukuta hayupo katika kundi lolote please T.c.u IT's mtakua responsible and answerable at reckonning:A S 465: