Deflakonary
Member
- Aug 17, 2013
- 47
- 3
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,
Mwenye material ya kozi ya Procurement and logistic management semester ya kwanza na ya pili naomba aniPM..
natanguliza shukrani.
Ahahahahahaa.. Nimecheka saaaana
Unadhani uko form one? Kwakweli watu ni noma!
acha utoto ww chuo sio kama sekondary,nenda Kila kitu utapata huko huko
Hii kali
Unadhani uko form one? Kwakweli watu ni noma!
Hawa ndo waleee...msuli tembo matokeo sisimizi
Wewe upo chuo au sekondari??
Nashukuru ujumbe umefika ila kama utapenda kuna nyumba ndogo anasoma pale,anaingia third year ni PM nikupe namba yake atakusaidia Dogo
TIA wanatoa degree?
atamfanya wa kwake, siunajua vijana wa sikuhizi Mavotah