T.I.A DSM: WEWE ULIYESOMA taasisi hii naomba upitie hapa.TAFADHALI. !!!!!

T.I.A DSM: WEWE ULIYESOMA taasisi hii naomba upitie hapa.TAFADHALI. !!!!!

Deflakonary

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
47
Reaction score
3
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,
Mwenye material ya kozi ya Procurement and logistic management semester ya kwanza na ya pili naomba aniPM..

natanguliza shukrani.
 
acha utoto ww chuo sio kama sekondary,nenda Kila kitu utapata huko huko
 
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,
Mwenye material ya kozi ya Procurement and logistic management semester ya kwanza na ya pili naomba aniPM..

natanguliza shukrani.

Ahahahahahaa.. Nimecheka saaaana
 
NitakuPM hivi karibuni ngoja nichonge na jamaa fulani, anaweza kuwa nayo

see you there at tia
 
Last edited by a moderator:
NitakuPM hivi karibuni ngoja nichonge na jamaa fulani, anaweza kuwa nayo

see you there at tia

Poapoa kaka, nimekutumia namba yangu ya simu manake humu huwa naingia mara chache sana.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru ujumbe umefika ila kama utapenda kuna nyumba ndogo anasoma pale,anaingia third year ni PM nikupe namba yake atakusaidia Dogo

atamfanya wa kwake, siunajua vijana wa sikuhizi Mavotah
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom