Kama uliweza kujaza form ya loan online sidhani kama iyo ni tatizo kwako,form yoyote inakua na information nyingi lakini unajaza inayokuhusu mf unaambiwa ujaze majina matatu na ww cheti chako cha o'level na six kina majina mawili huwezi kulazimisha kujaza matatu wakati ww unatumia mawili so kwa case yako kama hujasoma diploma post sec education haikuhusu kumbuka form iyoiyo inajazwa na form six Leaver na wale waliopitia diploma.