T I A online admission kwa bachelor............

T I A online admission kwa bachelor............

mwasoklein

Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
7
Reaction score
1
nilikua nahitaji msaada kidogo kwenye kujaza admission form ya T I A hasa kipengele cha post secondary education ambako lazma nijaze na mm ni fresh from form 6 kipengele hiko hakinihusu lakini kwenye form ni compulsory kujaza kinanichanganya kiukweli.......anayejua anijuze wadau##:confused2:
 
Kama uliweza kujaza form ya loan online sidhani kama iyo ni tatizo kwako,form yoyote inakua na information nyingi lakini unajaza inayokuhusu mf unaambiwa ujaze majina matatu na ww cheti chako cha o'level na six kina majina mawili huwezi kulazimisha kujaza matatu wakati ww unatumia mawili so kwa case yako kama hujasoma diploma post sec education haikuhusu kumbuka form iyoiyo inajazwa na form six Leaver na wale waliopitia diploma.
 
Back
Top Bottom