T.I amchana shabiki kweupe

T.I amchana shabiki kweupe

upio

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
42
Reaction score
19
Ni baada ya kupata komenti nyingi kwenye kurasa yake ya Instagram za kuitusi Africa na kumuomba asirudi na Ebola nchini kwao...

T.I pia kawapiga mkwara wote wanaongelea Ebola kuwa atawafuta mara moja wasipoacha.

Hii sijui kama inawezekana na kwa masuperstar wetu wanaoendekeza #teammatusi instagram.
 

Attachments

  • 1413669178023.jpg
    1413669178023.jpg
    43.1 KB · Views: 1,064
Wenzetu hawataki upuuzi kwenye mambo ya msingi Mkweli77
 
hata nami Nimeona jamaa ana misimamo....
 
Back
Top Bottom