upio
Member
- Apr 1, 2012
- 42
- 19
Ni baada ya kupata komenti nyingi kwenye kurasa yake ya Instagram za kuitusi Africa na kumuomba asirudi na Ebola nchini kwao...
T.I pia kawapiga mkwara wote wanaongelea Ebola kuwa atawafuta mara moja wasipoacha.
Hii sijui kama inawezekana na kwa masuperstar wetu wanaoendekeza #teammatusi instagram.