upio Member Joined Apr 1, 2012 Posts 42 Reaction score 19 Oct 19, 2014 #1 Ni baada ya kupata komenti nyingi kwenye kurasa yake ya Instagram za kuitusi Africa na kumuomba asirudi na Ebola nchini kwao... T.I pia kawapiga mkwara wote wanaongelea Ebola kuwa atawafuta mara moja wasipoacha. Hii sijui kama inawezekana na kwa masuperstar wetu wanaoendekeza #teammatusi instagram. Attachments 1413669178023.jpg 43.1 KB · Views: 1,064
Ni baada ya kupata komenti nyingi kwenye kurasa yake ya Instagram za kuitusi Africa na kumuomba asirudi na Ebola nchini kwao... T.I pia kawapiga mkwara wote wanaongelea Ebola kuwa atawafuta mara moja wasipoacha. Hii sijui kama inawezekana na kwa masuperstar wetu wanaoendekeza #teammatusi instagram.
Mkweli77 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,459 Reaction score 1,135 Oct 19, 2014 #2 nimeona hii asee
upio Member Joined Apr 1, 2012 Posts 42 Reaction score 19 Oct 19, 2014 Thread starter #3 Wenzetu hawataki upuuzi kwenye mambo ya msingi Mkweli77
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Oct 19, 2014 #4 hata nami Nimeona jamaa ana misimamo....