sokwe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,022
- 1,059
Sijakuelewa hapo mkuu.
Ana maanisha ingia Instagram kwenye account ya sipthetea kwa habari zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa hapo mkuu.
Ana maanisha ingia Instagram kwenye account ya sipthetea kwa habari zaidi.
Hii kitu ya wanawake itatutoa roho. Kashimo kadogo lakini mambo yake ukicheza nayo roho huna. Hongereni akina dada na mama itunzeni idumu hiyo ndiyo ugonjwa wetu.
Fuatilia story ya maisha ya T.I ndo utajua huyu jamaa sio mtu wa kuchezeana nae kabisa mayweather outside the ring hamgusi ti... Kwa rekodi haraka haraka tuu 2009 TI alikamatwa na polisi na kukutwa na bunduki aina za shotgun 100 kwenye gari yake... Akatupwa jela.. Alipotoka tuu akakuta best. Friend wake kauliwa na kikund cha wahuni akawafata wale wahuni kwenye camp yao na kurushiana risasi sanaa na alikua peke yake.. Akapumzika uhun baada ya mama yake kutishia kujiua kama hatoacha hizo tabia.. Huyu jamaa kimtaa ni tatzo
Hii kitu ya wanawake itatutoa roho. Kashimo kadogo lakini mambo yake ukicheza nayo roho huna. Hongereni akina dada na mama itunzeni idumu hiyo ndiyo ugonjwa wetu.
Yap ndo maanaakeHii kitu ya wanawake itatutoa roho. Kashimo kadogo lakini mambo yake ukicheza nayo roho huna. Hongereni akina dada na mama itunzeni idumu hiyo ndiyo ugonjwa wetu.
Kweli mahaba niue ndio hii,yaani T.I ana wivu kwa yule mke wake ambaye sura ngumu ukiwaangalia fasta fasta beautiful T.I anafunika.hahahahaha
Aaaaah mzee ujue T.I nae yuko fit"japo hajitangazagi kama may mAyweather
Aaah ushaanza kunitusi we mwanamke unaanza kupenda tabia au muonekano kwanza wa nje?Sababu mfn tabia ni baada ya kuridhika na uzuri.We kweli Juha, bado unaamini uzuri wa m/mke ni sura?
TMT wasijaribu vita na Tip hasa hii ya hood ndio maana kamwambia "u fight on the ring but i fight in street" mwenzie jela kama Maisha club tu haaaahaa nimemsikiliza 50cent anamwambia Floyd aache vita na uyu OG hasa ukifuatilia mapenzi yake na bunduki.
Fuatilia story ya maisha ya T.I ndo utajua huyu jamaa sio mtu wa kuchezeana nae kabisa mayweather outside the ring hamgusi ti... Kwa rekodi haraka haraka tuu 2009 TI alikamatwa na polisi na kukutwa na bunduki aina za shotgun 100 kwenye gari yake... Akatupwa jela.. Alipotoka tuu akakuta best. Friend wake kauliwa na kikund cha wahuni akawafata wale wahuni kwenye camp yao na kurushiana risasi sanaa na alikua peke yake.. Akapumzika uhun baada ya mama yake kutishia kujiua kama hatoacha hizo tabia.. Huyu jamaa kimtaa ni tatzo
mayweather alimjibu kama yeye anakinukisha kwenye ring mpaka kitaani!..50 cent anatafuta kick keshakuwa sana kitoroli cha TMT
TMT nao washakua wajeuri sana sema Floyd kakosea dzain maana ukiacha kuzurula na Tiny tho aliambiwa na Tip aache na ile kauli "watch ya B**ch" kwa nunda kama Tip mtaani Floyd hawezi balaa lake,50cent kapata gia ya kuitangaza albamu yake mzee wa stunts.
Yote tisa kuna lile njemba la west coast linaitwa Marion " Suge " Knight lile jamaa ndio halifai kabsa... He is the most feared man in the record industry huko states upto date. Wana muziki na music executives wengi wa hip hop states wanamuogopa snaa sio mtu wa kuzoeana nae...ukimzingua anakupoteza mazima. Ana mtandao na makundi ya hatari ya ujambazi huko LA, Carlifornia. Sema ni vile siku hzi amesanda....kipindi cha kina Tupac na Biggie Small jamaa alikua anatetemesha mbayaa alisha mning' iniza mtu juu ya ghorofa ndefu akitishia kumtupa endapo hato toa pesa flan kwa wasanii wake. Pia alimsaidia Dr. Dre kuachana na label ya NWA ya Eazy E kwa kumfuata Eazy E na majambazi wenye marungu na mapanga office kwake akitishia kumuaa yeye, familia yake yote na wazazi wake endapo hato sign mkataba wa kum release Dr. Dre from NWA. Jamaa aka sign mkataba bila shurti. Bongo hapa bado sijaona gangsta yeyote kwenye tasnia ya muziki walio pinda kwa viwango vile. Sijawahi sikia mwana muziki yeyote states akim diss Suge Knight kwenye nyimbo zao, wanamjua fika yule ni mtu wa aina gani and what he's capable of doing. Ukiskia watu kule wamepinda ujue wamepinda kweli kweli kukupoteza ni nje nje.