T.I ataja orodha ya marapa 50 bora

T.I. weighs in on the Top 50 rappers debate.

What do you think of his rankings?

View attachment 1227378
Upuuzi mtupu. Kuna mtu anaitwa Hopsin sijamuona hapo na nilitegemea mkongwe kama T.I lazima atakuwa ana appreciate/respect uwezo wa huyu mshikaji maana kuna vitu fulani anavyo ambavyo hata 2pac hakuwa navyo. Ila naona hapo huyu mkorofi amejaza wehu wenzie wazee wa kujaza matusi nyimbo nzima. Kwanza J. Cole hakutakiwa kutoka ndani ya 5 bora.
 
Royce da 5'9, Wana wa Lost Boyz, Quan, Gang starr, Foxy Brown na Chindo man aka Umbwa mkalisha tembo
 
Binafsi nliposkia wamemshoot nikaenda kutafuta ngoma zake! Hamna nilichoelewa
Xxxtentacion naye baada ya kulipuliwa ndio tukamuona kwenye chat ya billboard. Kiki za kifo ndizo zilimpandisha billboard na sio mziki
 
Hii sasa ndo list siyo huo uharo wa TI
Hiyo pia imekaa ki wack, real rappers hapo ni wakutafuta ila mumble rappers wamejaa nyomi.

Hii picha imepostiwa jana na rich the kid kwenye ukurasa wake wa IG
 
Kizazi cha kina Big Small, Jay Z na rappers wengi kutoka East Coast; lyrically idol wao ni Slick Rick.

Anatajwa kama mtu mwenye influence kubwa kwenye namna ya kuandika mashairi East Coast na wengi wa kizazi cha kina BIG wameiga style yake halafu hayupo ata ndani ya top ten.
 
Duh mtoto wa kiume unatumia neno mfyuuuuuuuu!!

Duh aisee wanaume tunapungua wanabaki mapunga

Sikujua kama hiyo ndio maana yake,mi natumia tu,inaonekana kutatuliwa marinda ndiyo shughuli inayokuweka mjini hadi unajua watumiaji wa hilo neno ambalo kwangu mimi ni la kawaida tu
 
Out of topic
Mkuu Unapenda dance?? Eidha kwa kuangalia au kwa ku perfom mwenyewe
Yes Off course I do real love Dance..Nacheza sana pia na innovate stylez zangu mwenyewe chaliangu..Kwann umeuliza ivo?
 
Yes Off course I do real love Dance..Nacheza sana pia na innovate stylez zangu mwenyewe chaliangu..Kwann umeuliza ivo?
Hahahahaa kwasababu ya hiyo avatar ya huyo dogo mateo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…