T.I ataja orodha ya marapa 50 bora

T.I ataja orodha ya marapa 50 bora

Sampling, extrapolation, interpolation etc. ni kawaida kwenye muziki.
Kumbuka, Biggie alikuwa haandiki.
Issue sio sampling tu Slick Rick ndio influencer on how to use imagery kwenye lyrics.

Big is not famous kwa sababu ana nyimbo nyingi nzuri ambazo ni main stream radio friendly kama hakina Drake leo, his fame ni kwa sababu ya mashairi ya nyimbo kama ‘beef’ on how he can tell hood stories.

Now the style of presentation wanaotumia many rappers muasisi wake ni slick rick, BiG though imitated the style but did it better

Tafuta rap magazine kama ‘the source’ uone slick rick anaongelewa vipi lyrically.
 
PAC deserve that crown, jamaa alikuwa ana punchline sijawah ona, atleast the list has some truthon it.....
 
Huwezi taja best rappers bila kum-mention dr. Dre!
 
Ivi huyooo cardi B naye ni rapa au mtu maarufu tuu. Kwenye list ya mnyama T.I sijamwona?????
Watu wanajitahidi kumwambafai cardi B huwa siwaelewi yani
 
Big sean zaid ya j cole
Upuuzi mtupu. Kuna mtu anaitwa Hopsin sijamuona hapo na nilitegemea mkongwe kama T.I lazima atakuwa ana appreciate/respect uwezo wa huyu mshikaji maana kuna vitu fulani anavyo ambavyo hata 2pac hakuwa navyo. Ila naona hapo huyu mkorofi amejaza wehu wenzie wazee wa kujaza matusi nyimbo nzima. Kwanza J. Cole hakutakiwa kutoka ndani ya 5 bora.
 
Mashabiki wa 2pac mniwie radhi
Tangu nmeanza kusikiliza nyimbo za 2pac mpaka sasa sioni maajabu yake aisee
Ni mtazamo wangu jamani [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Duhhhh aiseee... hebu mpe heshima tupac . Piga picha enzi hizo ana rapp vile ingekuwa n leo .... Acha kbsaa
 
Back
Top Bottom