hahaha, huyo aliyesema kuwa angeweka advocate amsimamie, alikuwa sahihi, pamoja na kwamba mimi kama mwana wa Mungu, najua ambacho kingetokea ingekuwa ni dhambi. kwa kawaida, hata kama mtu umefanya kosa kabisa waziwazi, hasa kama la TID, kwa hapa tz, ukiweka lawyer huwa inakuwa na asilimia zaidi ya tisini kushinda. first, ni kwasababu wale ma advocate wanajuana sana na wale mahakimu(ambao wana njaa kwa vikosa vidogo kama hicho), hivyo ni rahisi sana hata wao kupigiana simu tu na wakamtoa mtu hata kwa kurekebisha charge sheet wakishirikiana na PP. hii tumeona na inatokea kila wakati. wengi wanaponea mianya kama hiyo. ni tofauti mtu kutinga pale haujuani hata na mwanasheria yoyote yule, hapo sheria itachukua upanga wake kama ilivyokuwa kwa mwenzetu. kwa upande wangu, kama angeweka lawyer, hakika angeshinda hiyo kesi hata kama angeshindwa sana basi ANGEAMBIWA ALIPE HATA FAIDI tu, ma advocate ni watu wa mjini sana, they know how to work out vitu kama hivyo, wanajua kula hata rushwa, wana connection na network kubwa sana. hii najua ni dhambi kwasababu rushwa ni dhambi.
so, kama kuna mtu alisema TID alifungwa kwasababu hakuchukua lawyer na kama kweli haku hire lawyer, alisema sahihi, kwasababu, kusema kweli, kama wasingalikuwapo maadvocate,watu karibia wote wanaopelekwa mahakamani wangekuwa wanafungwa. lakini kuna kesi nyingi sana zile ambazo zina interest ndogo kwa jamii ambazo huwa zinafunikwa na kurahisishwa tu, mtu anapewa faini tu na anaondoka.hata hii TID angelipa faini tu. watz wengi ni wajinga wanajifanyaga wanajua kila kitu, ndo maana wanaumia, kama wewe unaesema ungetokea mahakamani bila lawyer ati kwasababu umeshafanya kosa basi hauwezi kukwepa, hii ni kutokana na kutoelewa hali halisi ya mambo yanavyoenda hapa mjini. thanks.