T.I.D Kumburuza Steve Nyerere mahakamani

Tatizo watanzania wengi hawajui kutenganisha SIASA NA SANAA. KISA WEMA KAHAMIA UKAWA KWA ISHU YA KUWEKWA NDANI BAASI WANATAKA WASANII WOTE WALIOWEKWA NDANI WAMTUKANE MAKONDA NA KUHAMIA UKAWA.

Zitatungwa story nyingi kweli ili kuonesha makonda ni mkosaji aiseee
 
Vibaraka km hawa ni wa kunyongwa kabisa hakuna namna
 
Aache kumburuza Makonda alomtaja hadharini mbele ya makamera kibao mburuze steve ambae kasikia tuu sauti yake je kama ni mwingine tu kaigiza ile sauti, hebu mpeleke kwanza Makonda au kwa vile ni Teja kweli halioni ata athari ya kutajwa hadharani
 
Hii kweli kapewa tena, yaani mara 2 imefika
 
Sasa ka yeye T.I.D alikutwa na kosa la kutumia madawa ya kulevya akasaidiwa na serekali ili kuwaelimish vijina wengine....kwanin Manji mwnye kosa ka la T.i.d asisaidiwe nae akawaelimishe matajir wenzake...??
 
Huyu si ndiye alikua kila interview anaulizwa kuhusu Kula unga anagoma na kutoa Matusi hadi dada Ray c alisema hadharani kuwa jamaa anatua mia Lkn alimtukana Sana et Leo anakir adhalani
 
DAA TANGU AONDOKE KANUMBA THE GREAT

HAWA WASANII WALIOBAKIA SANAA KAMA IMESHAWASHINDA KILICHOBAKIA KATIKA SANAA NI WASANII KUTAFUTA KICK KUPITIA MATUKIO.

SIO STEVE NYERERE, WEMA NA TID WOTE LAO MOJA
Uko nje ya mada dada
 
Mwacheni na maamuzi yake, mbona ka steve kalitumika sana na kalipa vijisenti na sasa aachwe abebe msalaba wake
 
Siku aliyokuwa akiongea alipoonza kusema yeye sasa hivi ni mnyama nilizima na sikuendelea kuangalia tena niliona kama sifa fulani na hakuna uhalisia ya yale aliyokua akijitapa nashukuru nimejibiwa.
 
Watu wa karibu na mzee Kigogo kaeni nae kwa karibu itakua anavurugika heeee heeeee.
 
T.I.D njaa imekuponza na ndiyo maana sasa unaishi kwa Kujipendekeza huku ukitumika kama Condom vile. Kwa nimjuavyo Steve Nyerere wala hajaongopa na kanyoosha vizuri mno maneno / maelezo yake. Halafu unajiita Mnyama wakati Mimi nakuona Bata tu!
Mwisho wa post yako nimeishia kucheka....unamuona Bata na siyo mnyama....[emoji1]
 
Hizi kukulu kakala mbona sizielewi!?!!? Hii nguvu ya kujadili hawa pimbi inatoka wapi!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…