INAUZWA T shirt Kali za Mtumba

Mkuu unatuchanganya wateja, umeandika nini sasa? Hayo mambo sijui ya Ford, Segmentation, Demographic na blah blah ya nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imebdi awavurugeew tu maana mnamzingua
 
Mkuu haya mauzungu ,umeua.
 
bruh tishet zako kwa kiasi ziko vizuri
ila kwa huu ung'eng'e ulio andika hapa mimi binafsi umenivuruga aiseee
 
Pungunza mkuu, utawapata wengi sio kwa gep hilo, wengi watakimbilia kwa Brother D
Hawa ndio wanaenda kununua kwa Brother D halafu wanataka kupata faida zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…