T734DPR Daladala inayofanya safari za Makumbusho-Gongo La Mboto likamatwe kwa uchafu uliokithiri. Kunguni na chawa wamo

Polee.

Teremka upande basi jengine.
Usafiri wa Gongo la Mboto mgumu sana naona watu wengi wanaenda Matembele ya Pili kwa Nabii Suguye
 
hii vita ikihamishiwa SUMATRA,jamaa anaacha gari garage yao.
 
Halafu mabasi ya njia hiyo madereva wake wanaendesha mwendokasi sana kuliko maelezo!

Wanamashindano ya ajabu humo barabarani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…