Taa bora na imara za ndani za Solar

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Wadau ninataka kununua TAA za kushika mkononi za SOLAR kwa ajili ya dharura pindi umeme unapokatika.

Naomba ushauri ninunue AINA GANI maan nyingi ni Vimeo. Nahitaji itakayowaka muda mrefu ikiwa full charged angalau masaa 12 na kuendelea.

Au km kuna yeyote aliewahi kutumia hii hapa chini (D LIGHT) anipe uzoefu na zinapatikana wapi au nipe mawasiliano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…