switch Off
Member
- Oct 30, 2019
- 48
- 186
Kwa gari za toyota hiyo taa inaonesha kuwa injin ni ya barid na injini ikipata joto lake la kawaida itazima.Habari wakuu,
Hii taa ya bluu Ina maanisha nini? Imekuwa ikiwaka muda ninaowasha gari na inapotea baada ya gari kutembea kidogo
Naomba kujuzwa ina maana gani?
View attachment 1505993
Kwa gar za toyota hyo taa inaonesha kuwa injin ni ya barid na injini ikipata joto lake la kawaida itazima
Ila baada ya hapo ukija kuona imewaka kwa rangi nyekundu, bac ujue gari yako inashida katika mfumo wa upoozaji, inabidi usimame na uchukue hatua haraka sana, usiendelee na safa na uzime gari kabisa mpaka upate ufumbuzi.
Gari ikichemsha unazima broo, hadi ipoe kwanza, ikipoa utafungua mfuniko wa radiator na utawasha gari hapo hakikisha una maji mkononi, utaongeza maji gar ikiwa sailensa. Usije ukaongeza maji gari ikiwa imezima.Muelekeze vizuri gari ikichemsha ni kupaki na kuiacha "sailensa" kwanza sio kuzima ghafla
Ndo mnaunguza gasket hapo
Gari ikichemsha unazima broo, hadi ipoe kwanza, ikipoa utafungua mfuniko wa radiator na utawasha gari hapo hakikisha una maji mkononi, utaongeza maji gar ikiwa sailensa. Usije ukaongeza maji gari ikiwa imezima
Kuna Madhara gani, unapoongeza maji kwenye radiator gari ikiwa imezima?Gari ikichemsha unazima broo, hadi ipoe kwanza, ikipoa utafungua mfuniko wa radiator na utawasha gari hapo hakikisha una maji mkononi, utaongeza maji gar ikiwa sailensa. Usije ukaongeza maji gari ikiwa imezima
Ahsante mkuuIkionesha rangi nyekundu kimbilia fasta Kwa fundi
Shukrani mkuuKwa gari za toyota hiyo taa inaonesha kuwa injin ni ya barid na injini ikipata joto lake la kawaida itazima
Ila baada ya hapo ukija kuona imewaka kwa rangi nyekundu, bac ujue gari yako inashida katika mfumo wa upoozaji, inabidi usimame na uchukue hatua haraka sana, usiendelee na safa na uzime gari kabisa mpaka upate ufumbuzi.
Ukifanya hivyo utaunguza gasket iliyopo kati ya cylinder head na engine blockKuna Madhara gani, unapoongeza maji kwenye radiator gari ikiwa imezima?
Niongeze maarifa hapa nasubiri.
Sijaelewa. Utaunguzaje hiyo gasket (au kifaa chochote) wakati umezima gari ikapoa. Ndio ukaongeza maji.Ukifanya hivyo utaunguza gasket iliyopo kati ya cylinder head na engine block
Sijaelewa. Utaunguzaje hiyo gasket (au kifaa chochote) wakati umezima gari ikapoa. Ndio ukaongeza maj
Principle ya kuongeza maji kwenye gari iliochemka ni lazima gari iwe imewaka ndo unaongenza maji sababu hauwezi kusubiria gari hadi ipoe..maana engine kupoa yatumia masaa mengi sanaSijaelewa. Utaunguzaje hiyo gasket (au kifaa chochote) wakati umezima gari ikapoa. Ndio ukaongeza maji.