Taa hii ya dashboard ina maana gani?

Taa hii ya dashboard ina maana gani?

switch Off

Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
48
Reaction score
186
Habari wakuu,

Hii taa ya bluu Ina maanisha nini? Imekuwa ikiwaka muda ninaowasha gari na inapotea baada ya gari kutembea kidogo

Naomba kujuzwa ina maana gani?

IMG_20200713_185251_2.jpeg
 
Habari wakuu,

Hii taa ya bluu Ina maanisha nini? Imekuwa ikiwaka muda ninaowasha gari na inapotea baada ya gari kutembea kidogo

Naomba kujuzwa ina maana gani?

View attachment 1505993
Kwa gari za toyota hiyo taa inaonesha kuwa injin ni ya barid na injini ikipata joto lake la kawaida itazima.

Ila baada ya hapo ukija kuona imewaka kwa rangi nyekundu, bac ujue gari yako inashida katika mfumo wa upoozaji, inabidi usimame na uchukue hatua haraka sana, usiendelee na safa na uzime gari kabisa mpaka upate ufumbuzi.
 
Kwa gar za toyota hyo taa inaonesha kuwa injin ni ya barid na injini ikipata joto lake la kawaida itazima

Ila baada ya hapo ukija kuona imewaka kwa rangi nyekundu, bac ujue gari yako inashida katika mfumo wa upoozaji, inabidi usimame na uchukue hatua haraka sana, usiendelee na safa na uzime gari kabisa mpaka upate ufumbuzi.

Muelekeze vizuri gari ikichemsha ni kupaki na kuiacha "sailensa" kwanza sio kuzima ghafla

Ndo mnaunguza gasket hapo
 
Muelekeze vizuri gari ikichemsha ni kupaki na kuiacha "sailensa" kwanza sio kuzima ghafla

Ndo mnaunguza gasket hapo
Gari ikichemsha unazima broo, hadi ipoe kwanza, ikipoa utafungua mfuniko wa radiator na utawasha gari hapo hakikisha una maji mkononi, utaongeza maji gar ikiwa sailensa. Usije ukaongeza maji gari ikiwa imezima.
 
Gari ikichemsha unazima broo, hadi ipoe kwanza, ikipoa utafungua mfuniko wa radiator na utawasha gari hapo hakikisha una maji mkononi, utaongeza maji gar ikiwa sailensa. Usije ukaongeza maji gari ikiwa imezima

Vema kabisa kwa kuongeza maarifa. Sio alizime asubirie fundi mpk kesho au alivute

Ziko mbinu nyingi sana za kusaidia kutochoma gasket mkuu

Thank you
 
Gari ikichemsha unazima broo, hadi ipoe kwanza, ikipoa utafungua mfuniko wa radiator na utawasha gari hapo hakikisha una maji mkononi, utaongeza maji gar ikiwa sailensa. Usije ukaongeza maji gari ikiwa imezima
Kuna Madhara gani, unapoongeza maji kwenye radiator gari ikiwa imezima?

Niongeze maarifa hapa nasubiri.
 
Kwa gari za toyota hiyo taa inaonesha kuwa injin ni ya barid na injini ikipata joto lake la kawaida itazima

Ila baada ya hapo ukija kuona imewaka kwa rangi nyekundu, bac ujue gari yako inashida katika mfumo wa upoozaji, inabidi usimame na uchukue hatua haraka sana, usiendelee na safa na uzime gari kabisa mpaka upate ufumbuzi.
Shukrani mkuu
 
Ukifanya hivyo utaunguza gasket iliyopo kati ya cylinder head na engine block
Sijaelewa. Utaunguzaje hiyo gasket (au kifaa chochote) wakati umezima gari ikapoa. Ndio ukaongeza maji.
 
Sijaelewa. Utaunguzaje hiyo gasket (au kifaa chochote) wakati umezima gari ikapoa. Ndio ukaongeza maj
Sijaelewa. Utaunguzaje hiyo gasket (au kifaa chochote) wakati umezima gari ikapoa. Ndio ukaongeza maji.
Principle ya kuongeza maji kwenye gari iliochemka ni lazima gari iwe imewaka ndo unaongenza maji sababu hauwezi kusubiria gari hadi ipoe..maana engine kupoa yatumia masaa mengi sana
 
Back
Top Bottom