⚠️Taa ya check engine inawaka na gari inakosa nguvu , msaada !

••••••UPDATES •••••
Asanteni ,nime-solve tatizo kuna waya mmoja ulilegea tu ,now iko fine .
Kuna wakati hii shida ya taa ya check engine kuwaka muda wote ilinikumba na by then nilikuwa nimetumia gari kama miezi 5 hivi.. nikashauriwa nipeleke kwa Fundi wirering, Ila kwa kuwa ratiba yangu ilikuwa ngumu sikuhiyo sikuweza kuangalia kile alikuwa afanya., Jioni akanirudishia gari safi kabisa taa haiwaki..
siku ya service nikaamua pia ku replace na fuse zilizoungua na gapes, check engine inarudi tena.. ndio nikagundua kumbe Yule fala hakutengeneza chochote zaidi ya kunilamba 40, 000/= kwa kuchomoa fuse taa isiwake
 
[emoji23][emoji23][emoji23]pole.....
Magari huwa hayana shida kqma tunavyofikieria...shida ipo kwa mafundi...
Fundi anaweza kukufanya ukalichukia gari lako
 
Salaam wadau. Check engine ya Toyota Coaster; Model HDB50, Engine 1HFE inawaka na kupoteza nguvu (accelerator haivuti). Kuwaka ni hino moja, inaweza tembea km kadhaa bila tatizo, ghafla taa inawaka na gari kupoteza nguvu. Nimeipeleka kwa wataalam wenye On-Board Diagnostic kit na kutoa codes kama inavyoonekana. Mtaalam amejaribu kufatilia hiyo kitu bila majibu chanya. Naomba msaada kwa mwenye utaalam wa kuzitambua hizo codes

Unakuwaje na gari ya kisasa halafu unapeleka garage uchwara?
 
Salaam wadau. Check engine ya Toyota Coaster; Model HDB50, Engine 1HFE inawaka na kupoteza nguvu (accelerator haivuti). Kuwaka ni hino moja, inaweza tembea km kadhaa bila tatizo, ghafla taa inawaka na gari kupoteza nguvu. Nimeipeleka kwa wataalam wenye On-Board Diagnostic kit na kutoa codes kama inavyoonekana. Mtaalam amejaribu kufatilia hiyo kitu bila majibu chanya. Naomba msaada kwa mwenye utaalam wa kuzitambua hizo codes
mkuu hii inatokea kwene gari yangu nayo.... imeanza juzi, ni corona! samahani, ukifanikiwa kutatua tatizo lako na tatizo hili linaweza kuwa nini?
 
Back
Top Bottom