kiletza
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 538
- 938
Kuna wakati hii shida ya taa ya check engine kuwaka muda wote ilinikumba na by then nilikuwa nimetumia gari kama miezi 5 hivi.. nikashauriwa nipeleke kwa Fundi wirering, Ila kwa kuwa ratiba yangu ilikuwa ngumu sikuhiyo sikuweza kuangalia kile alikuwa afanya., Jioni akanirudishia gari safi kabisa taa haiwaki..••••••UPDATES •••••
Asanteni ,nime-solve tatizo kuna waya mmoja ulilegea tu ,now iko fine .
siku ya service nikaamua pia ku replace na fuse zilizoungua na gapes, check engine inarudi tena.. ndio nikagundua kumbe Yule fala hakutengeneza chochote zaidi ya kunilamba 40, 000/= kwa kuchomoa fuse taa isiwake