Taa ya check engine kuwaka maana yake nini?

Ti Go

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
985
Reaction score
1,004
Kuna gari nimeipata hivi karibuni inawasha taa ya check engine. Hii inaweza kuwa ishara ya tatizo gani?
 
Peleka gari service haraka sana,epuka kuendesha taa ya engine ikiwaka,madhara yake ni makubwa sana,unaua engine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…