T Ti Go JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 985 Reaction score 1,004 Dec 1, 2017 #1 Kuna gari nimeipata hivi karibuni inawasha taa ya check engine. Hii inaweza kuwa ishara ya tatizo gani?
Kuna gari nimeipata hivi karibuni inawasha taa ya check engine. Hii inaweza kuwa ishara ya tatizo gani?
I ISOSTACY Member Joined Jun 17, 2016 Posts 56 Reaction score 68 Dec 2, 2017 #2 Peleka gari service haraka sana,epuka kuendesha taa ya engine ikiwaka,madhara yake ni makubwa sana,unaua engine
Peleka gari service haraka sana,epuka kuendesha taa ya engine ikiwaka,madhara yake ni makubwa sana,unaua engine