Taa ya engine inawaka

Taa ya engine inawaka

Habari wakuu.

Gari yangu ni toyata runx.
Ilipata shida ya kukosa nguvu na kuzima ukiacha tu kukanyaga mafuta nikaipeleka kwa wataalamu.
Wakabadilisha gasket kwenye engine mambo yakawa safi.
Lkn toka wametengeneza siku ileile nipo njiani narudi home taa ya engine ikawa inawaka.
Kwasababu muda ulikuwa umeenda nikasema nitawapigia simu.
Siku ya 2 nikampigia simu fundi akaniambia inabidi niipeleke wakachomeke kwenye machine wajue tatizo ni nini.
Lakini cha ajabu akaniambia niandae elfu 50 ya kipimo cha machine wakati tatizo wamesahabisha wao.
Mimi sijaipeleka mpaka leo maana naona huyu fundi alifanya kusudi ili nirudi tena ale hela yangu tena.
Msaada wakuu kama kuna ushauri niangalie kitu gani kabla sijapeleka kwa fundi mwingine.
Kaka.. Hiyo ni mpaka usome error code , zaidi ya hapo ni unapewa guessing game. Ku diagnose gari siku hizi si ghali sana. I would say 30thau max...
 
Habari wakuu.

Gari yangu ni toyata runx.
Ilipata shida ya kukosa nguvu na kuzima ukiacha tu kukanyaga mafuta nikaipeleka kwa wataalamu.
Wakabadilisha gasket kwenye engine mambo yakawa safi.
Lkn toka wametengeneza siku ileile nipo njiani narudi home taa ya engine ikawa inawaka.
Kwasababu muda ulikuwa umeenda nikasema nitawapigia simu.
Siku ya 2 nikampigia simu fundi akaniambia inabidi niipeleke wakachomeke kwenye machine wajue tatizo ni nini.
Lakini cha ajabu akaniambia niandae elfu 50 ya kipimo cha machine wakati tatizo wamesahabisha wao.
Mimi sijaipeleka mpaka leo maana naona huyu fundi alifanya kusudi ili nirudi tena ale hela yangu tena.
Msaada wakuu kama kuna ushauri niangalie kitu gani kabla sijapeleka kwa fundi mwingine.
Mkuu hajafanya makusudi kuwasha hiyo taa ila ungeongea nae taratibu awashawishi watumia mashine kukulegezea kidogo hata kwa elf 30 wanazimaga hiyo taa, ila nakushauri kabla ya kuwarudiahia chomoa waya za teminal kutenganisha moto kutumika kwenye gari jioni wakati wa kulala halafu asubuhi rudishia na uwashe gari ikiwa ni bahati yako itakuwa imezima magari ya kisasa ndivyo yalivyo ukigusa sehemu za ndani kabla ya kudisconect betry inatokea hiyo taa jaribu kufanya nilichokuelekeza tuone
 
Pamoja sana mkuu ngoja nijaribu leo alafu kesho asubuhi tuone
 
Kuna sababu kma tano hapo zinaweza kua kua main reason
1. Oxygen sensor inaweza kua imekufa unatakiwa ku replce na hii inaweza kua hasa kwako sense wali replace gasket
2. Gas cap itakua ime loose au ina damage ina fanya hewa ya nje kuchanganiknana na mafuta
3. Mass Air flow sensor inaweza kua ina shida either inapata signals za uongo kutokana na carbon kwenye cables au imeharibika kabisa
4. Angalia sparking plug cables zako kma zina damage au fireling order ipo vzur inawezekana baada ya ku replce gasket hawaku rudishia vzuri.
Hiii ya tano ni haiana nguvu sana ila ipo hivi
5. Replace Catalytic Converter sina ukakika kma gari yako ina hii kitu
Kila gari ya kisasa inayo catalytic converter mkuu. Sifikiri kama hii inawasha check engine light, maana ni mambo ya environment zaidi na sio operation ya engine. Huwa pana sensor mbele yake, ikifa ndio itawaka check engine (pia sina uhakika kama inawaka) kawaida ukichomeka diadnosus tool itakwambia km gari yako imefail emmission test tu, lakini hai pop check engine.
 
Nme ifanyia utafiti mkuu it works
Vipi umeendesha sana leo gari? Maana ukichomoa betri error zote zinafutika, unaweza ukaendesha ata kilomita 15 isiwake lakini ikawaka tena. Ikiwaka tena nenda kato izo buku 50 ndio bei ya kawaida tu kufanyia diagnosis. Ukidharau utakuja kutoa zaid ya buku 50 mkuu.
 
Kuna watu wanamajibu ya kisiasa sana. Actually mimi binafsi kama taa inawaka halafu siielewi nakuwaga sina amani. Nakushauri urudi kwa fundi tu, kuna mafundi akiona tu anajua shida. Nakushauri umwamini fundi, maana unachokifanya hapa nikutafta majibu ili ukifika kwa fundi uwe unatoa tu maelekezo kwa matando utakayolishwa hapa. Sio option nzuri.

Kuna fundi nilimpelekea gari ilikuwa inashindwa kupokea fresh ukikanyaga mafuta. Fundi mangungu mmoja akaenda kubadili fuel pump ikakubali kidogo lakini tatizo likabaki palepale, nikabadili garage. Nililofika garage ya pili withini robo saa gari ilikuwa mpya. Alibadili tu sensor ikawa kwisha habari
 
Mkuu suburi wataalam wa engine za magari waje huku kama wapo
Achana na huyo anae sema pack gari ka huna pesa ni kijeli za kijinga sana huyo hajui hata garama ya car wash kwani inaonyesha hana hekima
Si utalaamu sana hapa. Taa ikiwaka ya injini maana yake ukacheck injini yako kuna tatizo. Ikiwa hao huwaamini fuatilia ile simu uliopewa na mwana JF. Gari zingine ikiwaka hivyo hata mbali hufiki inazima. Ukibisha tatizo kubwa ghafla hutokea. Kuna siku mimi iliniwakia pale fire nikapaki Petrol station. Kumbe pipe ya maji kwenda kwenye radiatorkule chini imetoka na maji yote kumwagika. Nilishukuru Mungu. Nilifunga zile kulabu zake, pipe ikashika vizuri, nikajaza maji nikaendelea na safari zangu. Nossle zikileta shida itawaka. Ile taa mimi huipenda ni mwokozi. Kwa Prado hizi ikiwaka wewe simama tu, checki leta fundi. Fundi akija hana njia ni kupima tu kwa computer. Si utaalamu bali kauzoefu kadogo tu na hiyo taa mafundi wao huiita "check engine".
 
Pole,Njoo ofisini kwangu ntakufanyia diagnosis bure,then utaenda kwa fundi ukigundua tatizo,usibahatishe usije ukasabisha madhara zaidi.ni PM nikupe no
 
Daaa nilitaka nikuamini.lkn baada ya kukubakiana na hoja ya huyo mdau inaonekana ww sio mtaalam wa hayo mambo .harafu na uhakika asilimia 100 ww ni fundi engine sio fundi umeme.

Kama jamaa bado hajaweza kurekebisha gari yake mm ni fundi umeme kama anaweza kufika kwangu nitampimia buree kabisa au ninaweza kumwelekeza huko huko aliko hata kama yupo mwanza au bukoba songea nitamwelekeza nini afanye ili nimpimie gari yake manualy kwa free chaji hii huduma garama yake yeye ni vocha tuu zakunipigia mimi.

Sababu ndio kazi yangu hata humu jukwaani.wengi nishawasaidia kihivyo.
 
  • Thanks
Reactions: BRB
Juzi nilikuwa mahali natengeneza AC ya gari yangu.Pembeni kulikuwepo jamaa anafanya service hii ya kumwaga oili gari yake.Walipomaliza kumwaga oili nk wakawasha gari.Walipowasha gari ikawaka Check Engine (wakati huo mwenye gari hayupo).Mafundi wenyewe wakaanza kubishana kwamba mwenye gari hatawaelewa kwani gari limekuja haiwaki hiyo check Engine.Fundi mkuu wao akawambia waangalie sensor inayosoma hiyo check Engine.Kumbe waya za hiyo sensor zilikuwa zimekatia wakati wa kufunga na kufungua oil filter.Kumbe engine ni nzima tatizo ni hiyo sensor.Wakaenda wakanunua nyingine(sensor) wakapachika-Game over.
 
Kama bado inawaka, fungua boneti chomoa terminal kwenye betri then zirudishie. Kutakua na lose connection somewhere.
Mkuu ushauri wako ni mzuri lakini ni mbaya zaidi .ni kweli ukichomoa unafuta kumbukumbu lkn kumbuka unaweza ukawa hujatibu tatizo bado.

Taa huwa inawaka pale tuu inapotokea fault sehem.kama kuna hali tofauti sensor inaweza ikawa sio mbovu lkn taa ikawaka kwa mfano air clener ikawa chafu au imechoka sana ukaiendesha gari yako kwa speed ya 80km/hr taa itawaka.
Taa itawaka kwa sababu kwa speed hiyo mahesabu ya ratio ya hewa na mafuta yamekuwa tofauti hewa imekuwa kidogo hivyo oxygen sensor ambayo hufungwa kwenye bomba la moshi ambayo kazi yake ni kupima hewa chafu inayotoka ina mchanganyiko sahihi unao takiwa.kama kimoja wapi kikazidi au kupungua control box lazima itawasha taa.

Kumbuka hapo si kwamba sensor ni mbaya hapana bali air clener ndio chafu au imechoka hivyo upitishaji wa hewa unapita kwa tabu.

Ukichomoa waya utafuta hiyo fault ambayo inakuwa imehifadhiwa kwenye control box na mda mwingine ukizima gari na kuwasha taa hutoweka na ww utafurahi kwa kujiona kuwa umetibu gari lkn sio kweli unakuwa umejiongopea.

Bali ukienda kupima inakupa urahisi zaidi wakufaham iliwaka kwa shida gani.

Maana inaweza isije kuwaka tena sababu utatumia gari yako na huto kimbia tena kwa speed ya 80.
Lakini pafermance ya gari inabadilika hapa wengi kutambua huwa inakuwa vigum sana hata.kwa mafundi pia ni ngumu.hata kwa mafundi umeme au mafundi wenye mashine asilimia.90 huwa wana feli .maana wengi kupima tumezoea mpaka taa iwake au gari iwe na tatizo.

Lakini ukiingia deep sana na ukiwa unaweza kuchezea mashine unatambua unasoma grafu kadhaa na kujua sehem yenye shida kama ni mafuta hayafiki kwa kiwango kinachotakiwa basi au kama hewa ni chache unafaham pia..
 
Juzi nilikuwa mahali natengeneza AC ya gari yangu.Pembeni kulikuwepo jamaa anafanya service hii ya kumwaga oili gari yake.Walipomaliza kumwaga oili nk wakawasha gari.Walipowasha gari ikawaka Check Engine (wakati huo mwenye gari hayupo).Mafundi wenyewe wakaanza kubishana kwamba mwenye gari hatawaelewa kwani gari limekuja haiwaki hiyo check Engine.Fundi mkuu wao akawambia waangalie sensor inayosoma hiyo check Engine.Kumbe waya za hiyo sensor zilikuwa zimekatia wakati wa kufunga na kufungua oil filter.Kumbe engine ni nzima tatizo ni hiyo sensor.Wakaenda wakanunua nyingine(sensor) wakapachika-Game over.
Kwanza mkuu nikusahihishe hapo na unatakiwa uwe mpole wewe na hao mafundi na huyo fundi wao mkuu taa ya check engine haiwashwi na sensor moja .

Inshort engine ili iwake lazima mifumo mikuu mi 3 iwepo kamili.

1.mfumo wa hewa
2.mfumo wa mafuta
3.mfumo wa ulipuaji,moto

Na kuna mifumo saidizi mfumo wa upoozaji,na mfumo wa ulainishaji

Na hiyo mifumo yote ina sensor zake tena sio chini ya moja na kila sensor katika kila mfumo inakazi yake na kama na hutoa lipoti kwenye control box.
Kama itakuwa mbovu ina maana control box haita pokea signal zilizo programiwa kutambua uwepo wake lazima taa ya check.engine itawaka.

Na kama itatokea katika conditio flani imetuma signal tofauti na zinazotakiwa taa pia itawaka. Hivyo hakuna sensor ya check engine ingawa mafundi wengi hasa wa machenical kuna sensor huwa inaitwa THW au ETS huwa inafungwa kwenye mfumo wa maji huwa wanaiita ndio sensor ya check engine.
 
Daaa nilitaka nikuamini.lkn baada ya kukubakiana na hoja ya huyo mdau inaonekana ww sio mtaalam wa hayo mambo .harafu na uhakika asilimia 100 ww ni fundi engine sio fundi umeme.

Kama jamaa bado hajaweza kurekebisha gari yake mm ni fundi umeme kama anaweza kufika kwangu nitampimia buree kabisa au ninaweza kumwelekeza huko huko aliko hata kama yupo mwanza au bukoba songea nitamwelekeza nini afanye ili nimpimie gari yake manualy kwa free chaji hii huduma garama yake yeye ni vocha tuu zakunipigia mimi.

Sababu ndio kazi yangu hata humu jukwaani.wengi nishawasaidia kihivyo.
Mkuu mm ni fundi umeme tena MQA SA ila tu inaonekana ww una uzoefu zaidi yangu na una madini mengi kunishinda salute kwako
 
Habari wakuu.

Gari yangu ni toyata runx.
Ilipata shida ya kukosa nguvu na kuzima ukiacha tu kukanyaga mafuta nikaipeleka kwa wataalamu.
Wakabadilisha gasket kwenye engine mambo yakawa safi.
Lkn toka wametengeneza siku ileile nipo njiani narudi home taa ya engine ikawa inawaka.
Kwasababu muda ulikuwa umeenda nikasema nitawapigia simu.
Siku ya 2 nikampigia simu fundi akaniambia inabidi niipeleke wakachomeke kwenye machine wajue tatizo ni nini.
Lakini cha ajabu akaniambia niandae elfu 50 ya kipimo cha machine wakati tatizo wamesahabisha wao.
Mimi sijaipeleka mpaka leo maana naona huyu fundi alifanya kusudi ili nirudi tena ale hela yangu tena.
Msaada wakuu kama kuna ushauri niangalie kitu gani kabla sijapeleka kwa fundi mwingine.

Pole kaka, nafikiri wanaitaji kerest tu, that is it, sababu hayo mabadiliko control box I am sure imeshindwa kuyatambua. Ila gari ni zima. Hizo TAA hapo huwa zinakera sana, NI BORA UMPATE FUNDI WA KUELEWEKA ANAYEJUA ANACHOFANYA, otherwise wewe ISHI TU na hiyo TAA. USITHUUTU KUWAPELEKEWA WALE FUNDI WA WAYA WA MAGARI WENYE VI BALBU, NI WAHARIBIFU BALAA .... au WAWEZA MPELEKEA MWINGINE, AKAKIZIMA MANUALLY, THEN HAINA MAANA.
 
Mkuu, hizi gari za kisasa ni kama watoto, ni vizuri ufanye vipimo vya computer ili kufahamu tatizo ni nini, usiwaruhusu mafundi wa kubuni tatizo, watabadilisha kila kitu na kukamua pesa yako, lakini bado tatizo.
 
Mkuu mm ni fundi umeme tena MQA SA ila tu inaonekana ww una uzoefu zaidi yangu na una madini mengi kunishinda salute kwako
Hapana mkuu.unapatikana wapi ww mkoa gani.hembu fanya tutafutane.
 
Pole kaka, nafikiri wanaitaji kerest tu, that is it, sababu hayo mabadiliko control box I am sure imeshindwa kuyatambua. Ila gari ni zima. Hizo TAA hapo huwa zinakera sana, NI BORA UMPATE FUNDI WA KUELEWEKA ANAYEJUA ANACHOFANYA, otherwise wewe ISHI TU na hiyo TAA. USITHUUTU KUWAPELEKEWA WALE FUNDI WA WAYA WA MAGARI WENYE VI BALBU, NI WAHARIBIFU BALAA .... au WAWEZA MPELEKEA MWINGINE, AKAKIZIMA MANUALLY, THEN HAINA MAANA.
Mkuu unakosea harafu labda nikwambie tuu.kuwa mashine haitengenezi gari mashine ni kama spana tuu kwa fundi.kuna mahali hiyo bulb ya kiwaya au tester ni mhimu zaidi kuliko mashine.

Na unafaham kuwa kupima gari kwa njia ya manually ni uhakika zaidi kuliko ukitumia mashine.

Kuna mda huwa tunapima na mashine na huwa hatupati jibu sahihi lakini ukipima na tester au kipande cha waya unapata jibu sahihi zaidi.mashine zipo kiujumla lkn ukipima manually unapata jibu sahihi zaidi.
 
Back
Top Bottom