Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Nimekuwa nikipita mara kwa mara hili eneo la Kona ya Nairobi hapa mitaa ya Arusha ninachokutana nacho ni kuwa taa hizi hazifanyi kazi, sijui kama kuna muda huwa zinawaka au ni mimi tu nashindwa kuwa na bahati nazo kukuta zinawaka.
Lakini kwa ufupi tu ni kuwa ujumbe wangu Mamlaka zinazohusika zirekebishe kwa kuwa nimeona watu wanapita hapo kwa kuviziana, jambo ambalo ni hatarishi kiusalama.
Pia soma: Arusha; Taa za kuongoza magari zina zaidi ya mwezi mmoja hazifanyia kazi