A
Anonymous
Guest
Kero yangu kubwa ni kuhusu hizi taa za barabarani (road sign) hapa maeneo ya Tegeta Kibaoni huu ni mwezi wa tatu hivi hazifanyi kazi na wahusika wanaona lakini kimya.
Hapa tusipokuwa makini kuna ajali itakuja kutokea muda si mrefu maana ni hatari mno.
Naomba wahusika warekebishe hizi taa mapema
Hapa tusipokuwa makini kuna ajali itakuja kutokea muda si mrefu maana ni hatari mno.
Naomba wahusika warekebishe hizi taa mapema