KERO Taa za Barabarani eneo la Tegeta Kibaoni hazifanyi kazi mwezi wa tatu sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero yangu kubwa ni kuhusu hizi taa za barabarani (road sign) hapa maeneo ya Tegeta Kibaoni huu ni mwezi wa tatu hivi hazifanyi kazi na wahusika wanaona lakini kimya.

Hapa tusipokuwa makini kuna ajali itakuja kutokea muda si mrefu maana ni hatari mno.

Naomba wahusika warekebishe hizi taa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…