Taa za barabarani za sola zinagharimu kiasi gani?

Taa za barabarani za sola zinagharimu kiasi gani?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Habari. Naona kuna jambo zuri sana la kufunga taa za barabarani za sola. Zinagharimu kiasi gani taa hizo mbali na nguzo zake? Haziwezi fungwa kwenye nguzo za TANESCO mitaani?
 
Back
Top Bottom