Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Jul 29, 2023 #1 Habari. Naona kuna jambo zuri sana la kufunga taa za barabarani za sola. Zinagharimu kiasi gani taa hizo mbali na nguzo zake? Haziwezi fungwa kwenye nguzo za TANESCO mitaani?
Habari. Naona kuna jambo zuri sana la kufunga taa za barabarani za sola. Zinagharimu kiasi gani taa hizo mbali na nguzo zake? Haziwezi fungwa kwenye nguzo za TANESCO mitaani?