Taa za corrolla marino.

Taa za corrolla marino.

Joined
Nov 19, 2016
Posts
49
Reaction score
17
Naomba mssaada wa kupata taa za gari langu,marino,nimetafuta bila mafanikio,niko Ngara kagera.
 
Naomba mssaada wa kupata taa za gari langu,marino,nimetafuta bila mafanikio,niko Ngara kagera.
7c9b651308aa890f0122d6d0ced12038.jpg
 
Mkuu kama inakuwa ngumu kupata kaipime scraper waweza sababisha ajali , utakachokipata tafuta japo kakolola makalio ya nyani spea nyingi kama we muumini wa vigari vya zamani.
 
Mkuu kama unakuwa ngumu kupata kaipime scraper wawezasababisha ajali utakachokipata tafuta hapo kakolola makalio ya nyani speak nyingine kama we muumini wa vigari vya zamani
Naheshimu maoni yako lakini sioni kuwa yako sahihi.asante.
 
Mkuu kama unakuwa ngumu kupata kaipime scraper wawezasababisha ajali utakachokipata tafuta hapo kakolola makalio ya nyani speak nyingine kama we muumini wa vigari vya zamani
Acha dharau bhana...
 
Hizo unapata kariakoo sehemu inaitwa gerezani au unapata temeke. Kuna used na mpya.
 
Back
Top Bottom