DOKEZO Taa za kuongozea magari Ubungo External huwa zinazimika kuanzia saa tano usiku

DOKEZO Taa za kuongozea magari Ubungo External huwa zinazimika kuanzia saa tano usiku

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Hapa Ubungo External Mataa - Dar es Salaam, kila ikifika saa 5 kamili usiku mataa ya barabarani yanayotumika kuongoza magari huwa hayafanyi kazi, hivyo inakuwa kama gombania goli.

Tunashuhudia ajali karibia kila wiki, hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka minne sasa, hakuna anayejali kuhusu hili, mara ya mwisho tumeshudia ajali tarehe 15/02/2026 baada ya valentine saa 6:47 Usiku.

Hatua zichukuliwe, au kwa kuwa Viongozi wengi hawapiti muda huo katika barabara hiyo, hivyo lolote liwakute kina sisi? Inauma sana, hatua za maboresho zichukuliwe, siamini kama Mamlaka zinazohusika hazijui kuhusu changamoto hiyo.
1771916961834.png

Mjadala mwingine ~ Clouds FM wajadili kuhusu ‘Traffic lights’ za Ubungo External KUZIMIKA usiku na kuwa chanzo cha ajali
 
Taa nyingi za kuongoza magari hapa Dar kuanzia saa tatu usiku zinawekwa za tahadhari tu. Dereva atumie akili,sheria kama kwenye junction yoyote ambayo haina taa.
Honestly saa tano usiku kusimama kwenye mataa sio salama vile vile kwa dereva mbali na ajali. Hio ni automatic muda ukifika zinawaka za tahadhari tu (flashing amber)
 
Back
Top Bottom