Taa nyingi za kuongoza magari hapa Dar kuanzia saa tatu usiku zinawekwa za tahadhari tu. Dereva atumie akili,sheria kama kwenye junction yoyote ambayo haina taa.
Honestly saa tano usiku kusimama kwenye mataa sio salama vile vile kwa dereva mbali na ajali. Hio ni automatic muda ukifika zinawaka za tahadhari tu (flashing amber)