King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
Sio ukungu wa mvuke Ni ukungu wa aina ya utando mweupeKuna mahali hewa inaingia
Huo huoSio ukungu wa mvuke Ni ukungu wa aina ya utando mweupe
Is it from the industry?Huo huo
Hapana most likely zimebadilishwaIs it from the industry?
Thanks kamandaHapana most likely zimebadilishwa
Hakuna namna zaidi ya kuzibadiliThanks kamanda
So nawezaje solve that issue
HabariNimepata Noah hapa ila inaingia ukungu mweupe unaonilazimu Mimi kutumia full light wakati wa usiku ili niweze kuona vizuri.
Kuna mahali nilienda Lumumba wakazisafisha zikawa poa lakini baada ya muda ule ukungu ukarudi .
Ntafanyaje niweze kuondoa hili janga.
Asante sana mkuu..useful threadHabari
Pitia hii thread: Msaada jinsi ya kutunza taa za mbele
Angalia Post #7 kuna kitu cha kujifunza
KARIBU