Taa za Noah road tourer zinaingia ukungu unaosababisha nitumie full light wakati wa usiku.

Taa za Noah road tourer zinaingia ukungu unaosababisha nitumie full light wakati wa usiku.

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
Nimepata Noah hapa ila inaingia ukungu mweupe unaonilazimu Mimi kutumia full light wakati wa usiku ili niweze kuona vizuri.
Kuna mahali nilienda Lumumba wakazisafisha zikawa poa lakini baada ya muda ule ukungu ukarudi .
Ntafanyaje niweze kuondoa hili janga.
 
Habari

Pitia hii thread: Msaada jinsi ya kutunza taa za mbele

Angalia Post #7 kuna kitu cha kujifunza

KARIBU
 
JF sio kisima cha maarifa, ni BAHARI KABISA!! ni pahala pekee unapata elimu na ujuzi bure kabisa kwa ghara za mb zako hata 2 tu za zawadi baada ya kutumia dk na sms za bure. viva JAMII FORUMS!
 
Mkuu Mara nyingine zipake dawa ya mswaki yenye fluoride nyingi kama white dent kisha iache kama dkk 10 kisha sugua na mswaki au brash kisha safisha na maji itakuwa mukide kabisa
 
Back
Top Bottom