Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Katika miaka hii ya karibuni kumekuwa na nia nzuri ya kuipamba miji na kuongeza usalama nyakati za usiku kwa kuweka taa za barabarani. kwa kukosekana umeme wa kawaida wa uhakika taa zilichochanguliwa ni hizi zinazotumia nguvuj za jua.
Pamoja na nia hizo nzuri taa hizi zimekuwa ni bomu kabisa.Makampuni yaliyopewa tenda yamebeba pesa nyingi sana kuyaweka katika miji mingi nchini.Tatizo hata mwaka haufiki asilimia 90 ya taa hizo huwa hazifanyi kazi.