Toa ushauri nini kifanyike ambacho ni bora zaidiKatika miaka hii ya karibuni kumekuwa na nia nzuri ya kuipamba miji na kuongeza usalama nyakati za usiku kwa kuweka taa za barabarani. kwa kukosekana umeme wa kawaida wa uhakika taa zilichochanguliwa ni hizi zinazotumia nguvuj za jua.
Pamoja na nia hizo nzuri taa hizi zimekuwa ni bomu kabisa.Makampuni yaliyopewa tenda yamebeba pesa nyingi sana kuyaweka katika miji mingi nchini.Tatizo hata mwaka haufiki asilimia 90 ya taa hizo huwa hazifanyi kazi.
Wakati umeme wa nguvu ya maji hautoshi, gesi haijaleta neema na sola ni hasara tupu.Nashauri mabaraza ya miji yawatake wote wenye nyumba zinazoelekezana na barabara kuu wawe na taa moja kubwa ya kuwashwa usiku. imulike barabaarani. Wenye nyumba hizi wasamehewe sehemu fulani ya kodi zinazolipishwa na serikali kwa ajili ya taa hizo.Serikali haitopata hasara kwa kufanya hivyo kuliko hasara ya kuwalipa wakarandasi wa kuweka taa za sola halafu zinazimika.Toa ushauri nini kifanyike ambacho ni bora zaidi
Akiwabaini kula pesa wataambiwa kwa lugha ya mahaba "Watupishe"cag si yupo ?
Elimu yako tafadhali!Wakati umeme wa nguvu ya maji hautoshi, gesi haijaleta neema na sola ni hasara tupu.Nashauri mabaraza ya miji yawatake wote wenye nyumba zinazoelekezana na barabara kuu wawe na taa moja kubwa ya kuwashwa usiku. imulike barabaarani. Wenye nyumba hizi wasamehewe sehemu fulani ya kodi zinazolipishwa na serikali kwa ajili ya taa hizo.Serikali haitopata hasara kwa kufanya hivyo kuliko hasara ya kuwalipa wakarandasi wa kuweka taa za sola halafu zinazimika.
DuuuhWakati umeme wa nguvu ya maji hautoshi, gesi haijaleta neema na sola ni hasara tupu.Nashauri mabaraza ya miji yawatake wote wenye nyumba zinazoelekezana na barabara kuu wawe na taa moja kubwa ya kuwashwa usiku. imulike barabaarani. Wenye nyumba hizi wasamehewe sehemu fulani ya kodi zinazolipishwa na serikali kwa ajili ya taa hizo.Serikali haitopata hasara kwa kufanya hivyo kuliko hasara ya kuwalipa wakarandasi wa kuweka taa za sola halafu zinazimika.
Na kwa maeneo yasiyokuwa na majumba uelekeo wa barabara?Wakati umeme wa nguvu ya maji hautoshi, gesi haijaleta neema na sola ni hasara tupu.Nashauri mabaraza ya miji yawatake wote wenye nyumba zinazoelekezana na barabara kuu wawe na taa moja kubwa ya kuwashwa usiku. imulike barabaarani. Wenye nyumba hizi wasamehewe sehemu fulani ya kodi zinazolipishwa na serikali kwa ajili ya taa hizo.Serikali haitopata hasara kwa kufanya hivyo kuliko hasara ya kuwalipa wakarandasi wa kuweka taa za sola halafu zinazimika.
Zikoje Mkuu?Shida wanaweka za quality mbovu ila kwenye quotations wanaweza za high quality...kama barabara ya mwanza pasiasi-airport zile taa alieweka Mungu anamuona [emoji1787]
Tatizo lipo Hivi, Tanroads na Tarura wameweka specifications nzuri sana na hizo taa zinaweza kukaa hadi miaka Tano, ila hapa katikati ikaingia Wataalamu wasio waaminifu (Wasimamizi na wakandarasi), wakashirikiana na watengeneza taa za ubora hafifu! Sana sana Chinese!! Taa inatengenezwa na kubandikwa sticker (label ya ubora) lakini just lable na sio taa yenye ubora huo!! Ila kwa gharama ya ubora WA juu, Hapo ndio tunakopigwa hadi tunalia poo!!Toa ushauri nini kifanyike ambacho ni bora zaidi
Wakati umeme wa nguvu ya maji hautoshi, gesi haijaleta neema na sola ni hasara tupu.Nashauri mabaraza ya miji yawatake wote wenye nyumba zinazoelekezana na barabara kuu wawe na taa moja kubwa ya kuwashwa usiku. imulike barabaarani. Wenye nyumba hizi wasamehewe sehemu fulani ya kodi zinazolipishwa na serikali kwa ajili ya taa hizo.Serikali haitopata hasara kwa kufanya hivyo kuliko hasara ya kuwalipa wakarandasi wa kuweka taa za sola halafu zinazimika.
Elimu yako tafadhali!
Umeishia darasa la ngapi tujue?
Huu mpango uhusike na maeneo ya mji na barabara kuu tu kama hizi zinazowekwa taa za sola sasa.Mbali na mji hakuna ulazima. Hiyo ya mbali na mji hata kusikokuwa na majumba nimeona Ulaya tu.Na kwa maeneo yasiyokuwa na majumba uelekeo wa barabara?
Inawezekana ukawa sahihi kwa mujibu wa fikra/uelewa wako.Huu mpango uhusike na maeneo ya mji na barabara kuu tu kama hizi zinazowekwa taa za sola sasa.Mbali na mji hakuna ulazima. Hiyo ya mbali na mji hata kusikokuwa na majumba nimeona Ulaya tu.