Taa zenye mwanga mweupe VS mwanga wa yellow

Mkuu usiku usipotumia technique hasa kama njia ni mgeni hufiki mbali, kuna faida ya kumtanguliza mtu mdau maana hata akipiga shimo au speed bump unamwona anavyorushwa kwahiyo unajiandaa kisaikolojia na akikwepa kitu au akipunguza mwendo kama kuna shimo unaona taa za break na mambo mengine kama ya mwanga pia
 
Unatusaidiaje sasa (ushauri) watu tusiokuwa na "magari ya kiume" ili angalau visibility iwe nzuri, usiniambie uza alafu nunua gari la kiume (nitakulaani) ila kwa hiki Kitoyota nifanyaje ku-improve mwanga. Je kuna bulb zinaweza kuongeza ubora wa mwanga au mpaka kufanya mapekeche kwenye gari ndipo unaweza kuongeza ubora wa mwanga mfano kuweka busta etc.
 
Wenye pikipiki fungeni hizi mtakuja kutoa ushuhuda hapa zina njano na white na full inapiga njano na white kwa pamoja ziko njema sana kwenye mvua unaserereka tu unaona mpka sindano ilioanguka
 
Haha assume umemtangulisha V8 alafu ww una toyota wish au ka raum hapo sasa lazima utaomba poooo endapo kama mi masafa
 
Haha assume umemtangulisha V8 alafu ww una toyota wish au ka raum hapo sasa lazima utaomba poooo endapo kama mi masafa
Kuna magari si ya kwenda nayo, stability zinatofautoana sana,unamwacha aende
 
Haha assume umemtangulisha V8 alafu ww una toyota wish au ka raum hapo sasa lazima utaomba poooo endapo kama mi masafa
Hayo nilishayatanguliza, hata ukijitahidi kilometre 2 nyingi ameshakuacha unamwona yuleee maana gari zetu hizi za wanyonge ikifika speed 100 ukizidi kukanyaga unaanza kuona uskani unacheza cheza (ni kukubali matokeo tu unamwacha aende zake, atatokea tu wa level yako)
 
Wadau wa magari, naomba remarks Zenu kuhusu ili, Ninafsi naona taa zinazotoa mwanga mweupe zikikutana na taa za mwanga wa yellow maona nyeipe zinafunikwa ....

Mafundi waliopo Ilala yote, Karume n maeneo hayo wakikushauri kitu, fanya kinyume chake, ni wezi, matapeli, wanaowaza faida yao tu na hela zao hata kama utakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…