Napenda kuwaambia wadada wote ili mjue msijesema hamkujua. Yani mimi nikikuomba namba ya Sim ujue lazima nikutongoze. Sasa ukikubali au kukataa hiyo hainipi shida. Kwahiyo kutoa nambayako alafu usitongozwe jua unanuksi tu.