TAADHARI KWA WADADA

TAADHARI KWA WADADA

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,871
Reaction score
2,762
Napenda kuwaambia wadada wote ili mjue msijesema hamkujua. Yani mimi nikikuomba namba ya Sim ujue lazima nikutongoze. Sasa ukikubali au kukataa hiyo hainipi shida. Kwahiyo kutoa nambayako alafu usitongozwe jua unanuksi tu.
 
Ngoja waje mkuu.
 
Umesema kiwanda chako kinajishughulisha na nini?
 
[emoji23][emoji23]

Kaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom