Kwani nyie kandambili mnasema mtafungwa ?Kumekuwa na majigambo mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa klabu tajwa hapo juu, kwamba kesho wanaua. Napenda kuwashauri, hayo matokeo waliyokuwa nayo waanze kuyafuta vichwani mwao tangia sasa, maana matokeo ya mchezo wa kesho yanaweza kuwa kinyume na matarajio yao hivyo ikwaathiri kisaikologia na ikapelekea kufanya mambo kinyume na utaratibu kama ilivyowahi tokea siku za nyuma. Nadhani wale wapenzi wa mpira mmenielewa. Asanteni kwa kuzingatia hili angalizo.
Mkuu hawa mafisi maji wanajiamini sana kipindi hiki na ndo maana walirusha mawe uwanjani kule mwanza na eti yule mpiga kelele wao akawaomba radhi kwa kufungwa! Shenz taipKumekuwa na majigambo mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa klabu tajwa hapo juu, kwamba kesho wanaua. Napenda kuwashauri, hayo matokeo waliyokuwa nayo waanze kuyafuta vichwani mwao tangia sasa, maana matokeo ya mchezo wa kesho yanaweza kuwa kinyume na matarajio yao hivyo ikwaathiri kisaikologia na ikapelekea kufanya mambo kinyume na utaratibu kama ilivyowahi tokea siku za nyuma. Nadhani wale wapenzi wa mpira mmenielewa. Asanteni kwa kuzingatia hili angalizo.
Mashabiki wa Yanga Sc siyo kiviiile kama niliyowatahadharisha. Huo ndiyo ukweli. Na Yanga siyo watu wa kufanya yasiyofaa uwanjani, hawana Historia hiyo mkuu, sasa kwa mini niwaunganishe. Hata hivyo kama Kama wataona inawhusu nao ni vyema kuchukua tahadhari. Asante mkuuKwani mashabiki wa Yanga hawatambi kwenye mitandao? Waambie na wao watulize mizuka
Mashabaki wa simba ni mbumbumbu
Kweli jina la mtu linaendana na tabia yakeMkuu hawa mafisi maji wanajiamini sana kipindi hiki na ndo maana walirusha mawe uwanjani kule mwanza na eti yule mpiga kelele wao akawaomba radhi kwa kufungwa! Shenz taip
Labda unao wajua wewe, mimi huku nilipo mpaka hatulali kwa tambo ambazo hawana uhakika nazo. Unapo sema sio kivile umetumia kipimo au kigezo gani? Halafu acha kuchanganya mada, uzi wako umeongelea kuhusu mashabiki wa Simba SC kujigamba kupita kiasi na sio kufanya vurugu! Wale sio wapumbavu mpaka wafanye vurugu kama hawajachokozwa! Mashabiki wa Yanga toka Simba ilipofungwa na Mbao Fc mpaka leo hatulali wakijigamba kwenye mechi ya kesho! Sasa unataka mashabiki wa Simba wafanyeje?Mashabiki wa Yanga Sc siyo kiviiile kama niliyowatahadharisha. Huo ndiyo ukweli. Na Yanga siyo watu wa kufanya yasiyofaa uwanjani, hawana Historia hiyo mkuu, sasa kwa mini niwaunganishe. Hata hivyo kama Kama wataona inawhusu nao ni vyema kuchukua tahadhari. Asante mkuu
Kivipi inafukua makaburi? Huko kujigamba kuwa itashinda kesho? Kama ingekuwa inaogopa game ya kesho wasinge kubali kuingia kambini na kujiandaaMkuu yan naona Simba sc inatumia nguvu nyingi mno kufukua makaburi....Mimi sio fan wa Yanga ila Simba inaonekana anaogooa game ndo maana anafukua makaburi
Tunatamba kila kona kwa kua tunajiamini na kikosi chetu.. Na kesho lazima MFE.Kumekuwa na majigambo mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa klabu tajwa hapo juu, kwamba kesho wanaua. Napenda kuwashauri, hayo matokeo waliyokuwa nayo waanze kuyafuta vichwani mwao tangia sasa, maana matokeo ya mchezo wa kesho yanaweza kuwa kinyume na matarajio yao hivyo ikwaathiri kisaikologia na ikapelekea kufanya mambo kinyume na utaratibu kama ilivyowahi tokea siku za nyuma. Nadhani wale wapenzi wa mpira mmenielewa. Asanteni kwa kuzingatia hili angalizo.
Hivi jamii forum sio mtandao ..... we mwenyewe ushatumia jf kujitamba tayari...ndo maana kuna baadhi ya vitu hatutoboi kwa sababu ya fikra kama zako....ulitakiwa ubandike bango maeneo yanayopita watu wengi tungekuelewa
Kufanya vurugu siyo kwamba MTU anakuwa na akili timamu hapana, hiyo ndiyo kuathirika kisaiklojia mkuu, unashindwa kuhimili unachokishuhudia, matokeo yake unafanya vitu ndiyo siyo kama ilivyotokea huko nyuma mkuu, au umesahau?Labda unao wajua wewe, mimi huku nilipo mpaka hatulali kwa tambo ambazo hawana uhakika nazo. Unapo sema sio kivile umetumia kipimo au kigezo gani? Halafu acha kuchanganya mada, uzi wako umeongelea kuhusu mashabiki wa Simba SC kujigamba kupita kiasi na sio kufanya vurugu! Wale sio wapumbavu mpaka wafanye vurugu kama hawajachokozwa! Mashabiki wa Yanga toka Simba ilipofungwa na Mbao Fc mpaka leo hatulali wakijigamba kwenye mechi ya kesho! Sasa unataka mashabiki wa Simba wafanyeje?
Anawapa taadhari msiende na matokeo yenu mfukoni kibao kikageuka mkaja kung'oa vitiKwani mashabiki wa Yanga hawatambi kwenye mitandao? Waambie na wao watulize mizuka
Mna rekodi pia ya kukimbia match muda wa mapumziko,kwa mnaweza kuingiza Timu lakini halftime mkaweka mpira kwapani. Hii ni rekodi yenu,Yanga hana tabia hiyo,ni heri umfunge goal hata 5 lakini sio kuweka Mpira kwapani.Kivipi inafukua makaburi? Huko kujigamba kuwa itashinda kesho? Kama ingekuwa inaogopa game ya kesho wasinge kubali kuingia kambini na kujiandaa