Taadhari kwa wapenzi na mashabiki wa Simba Sports Club.

Tunatamba kila kona kwa kua tunajiamini na kikosi chetu.. Na kesho lazima MFE.
Mkuu, kesho usikimbie mji.

Umefika wakati wa kumu expose kocha wenu mbovu anayebebwa na hela ya usajili.

Kwa usajili wenu, Yanga inaingia kama underdog. Itakuwa highly motivated kutafuna hela za Mo.
 
Mimi nimetoa tahadhari tu mkuu maana kuna watu humu wanayo matokeo yao tayari vichwani, sasa ikiwa kinyume sipati picha.
Yan mpaka ww kuandika haya jua tu simba ushind lazma hata kwakumpima refa mkojo lazma yanga mkae tu
 
Mkuu, kesho usikimbie mji.

Umefika wakati wa kumu expose kocha wenu mbovu anayebebwa na hela ya usajili.

Kwa usajili wenu, Yanga inaingia kama underdog. Itakuwa highly motivated kutafuna hela za Mo.
Mkuu mda huu natoka Taifa Stadium kumalizia 'kazi' iliyobakia.. Tukutane Taifa Stadium badae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yan naona Simba sc inatumia nguvu nyingi mno kufukua makaburi....Mimi sio fan wa Yanga ila Simba inaonekana anaogooa game ndo maana anafukua makaburi
Unasema wewe sio Yanga kwahiyo kwa uandishi huu wewe ni Simba Sc?
 
Kakimbia tayari mkuu, kwani umeishamuona humu? Hadi J5 ndiyo atazinduka.
Mkuu, kesho usikimbie mji.

Umefika wakati wa kumu expose kocha wenu mbovu anayebebwa na hela ya usajili.

Kwa usajili wenu, Yanga inaingia kama underdog. Itakuwa highly motivated kutafuna hela za Mo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…