Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Mkuu, kesho usikimbie mji.Tunatamba kila kona kwa kua tunajiamini na kikosi chetu.. Na kesho lazima MFE.
Umefika wakati wa kumu expose kocha wenu mbovu anayebebwa na hela ya usajili.
Kwa usajili wenu, Yanga inaingia kama underdog. Itakuwa highly motivated kutafuna hela za Mo.