Negative 1
Senior Member
- Aug 26, 2013
- 133
- 4
Mbulula wewe nenda kamuulize Waziri wenu wa elimu kijana aliyetaka kumuharibia ubunge wake 2010 ni nani atakwambia, tena kijana Habibu Mchange akiwa mwaka wa pili alichakachuliwa ubunge wake kamuulize Kawambwa anamjua vizuri, chuo kikiwa na umri miaka mitatu kijana alijitokeza kugombea kupitia CDM tena akiwa bado hajamaliza masomo yake, kwa great thinker huu ni ujasiri wa hali ya juu, kijana mwingine Alex Mushi akiwa mwaka wa tatu aligombea ujumbe wa BAVICHA akashinda kwa kishindo, Mbulula wewe huijui UDOM, Kabla hujapost uwe unachunguza sana!
Safi mkuu, umbulula wa huyu jamaa ni wa zaid za 800%. Hajachunguza, mi nadhani alitaka ajue product km za kina mushi zipo au la. Mbulula huyu akacheze na madenge wataelewana.