Taaluma ya UDOM manufaa yake ni madogo sana kwa jamii

Taaluma ya UDOM manufaa yake ni madogo sana kwa jamii

Mbulula wewe nenda kamuulize Waziri wenu wa elimu kijana aliyetaka kumuharibia ubunge wake 2010 ni nani atakwambia, tena kijana Habibu Mchange akiwa mwaka wa pili alichakachuliwa ubunge wake kamuulize Kawambwa anamjua vizuri, chuo kikiwa na umri miaka mitatu kijana alijitokeza kugombea kupitia CDM tena akiwa bado hajamaliza masomo yake, kwa great thinker huu ni ujasiri wa hali ya juu, kijana mwingine Alex Mushi akiwa mwaka wa tatu aligombea ujumbe wa BAVICHA akashinda kwa kishindo, Mbulula wewe huijui UDOM, Kabla hujapost uwe unachunguza sana!

Safi mkuu, umbulula wa huyu jamaa ni wa zaid za 800%. Hajachunguza, mi nadhani alitaka ajue product km za kina mushi zipo au la. Mbulula huyu akacheze na madenge wataelewana.
 
Kwani ili mtu aonekane ni msomi aliyeelimika ni mpaka
1. awe na uwezo wa kujieleza mbele za watu? Vp Bubu na viziwi n.k?
2. awe mwanasiasa?
3. awe machachari?
4. n.k
Kimtazamo wangu ndg mtoa mada hii bado unahitaji darasa!
Yaani wewe ndo sawa na wale wanao kwambia eti darasa la nne la zamani ni zaidi ya kidato cha nne!
Huu ni ujima wa fikra!
Kinachotakiwa ni uwajibikaji siyo Porojo tu! Tena hili nalo laenda kuwa tatizo ktk Taifa letu watu wanapenda
1. Story/porojo kuliko kazi (uwajibikaji)
2. Matumizi kuliko uzalishaji.
3. kuomba misaada kuliko kujitafutia.

WENGINE HATUJAJALIWA UWEZO WA KUPAYUKAPAYUKA! WENGINE TUNA MATATIZO YA VIGUGUMIZI LAKINI KWENYE JOB UTATUKUBALI VP WEWE MPIGA SWAGA MTAA KWA MTAA?
 
Ngonani@ chuo cha kata huku watu wana enjoy. ww unayesema chuo cha kata mtaani hawajaona mchango wa elimu yko? mnaobeza hk chuo wote nima mbulula badala ya kujadil vi2 vya msing mnajadili utumbo?
 
Mkuu uchambuzi wako ni dhaifu sana na umejaa chuki binafsi dhidi ya UDOM, Kama uliomba nafasi hapo wakakupiga chini basi usiwe na kinyongo waache wenzako wasome hapo.

inaonekana jamaaa alidisco UDOm hii si bure,,,coz hajafanya uchunguzi yakinifu kabisa
 
Kwanini UDOM ndio inaonekana kusakamwa sana ili hali kuna vyuo vikuu vya ovyo kuliko hata UDOM kitaaluma? Kinacho kiangusha chuo cha Dodoma ni uongozi mzima wa chuo, kuna udini, ukabila,ukanda na hata uchama umetawala chuo. Hii ni kwa mujibu wa observation ya kusoma pale miaka mitatu nimegundua hayo. Ukitaka kuamini fanya uchunguzi wa watu wanao ajiriwa UDOM ni wa dini na kabila fulani fulani tu. Wengine hawana haki pale. Chuo kinaongozwa kama familia ya mtu!!
 
Kwanini UDOM ndio inaonekana kusakamwa sana ili hali kuna vyuo vikuu vya ovyo kuliko hata UDOM kitaaluma? Kinacho kiangusha chuo cha Dodoma ni uongozi mzima wa chuo, kuna udini, ukabila,ukanda na hata uchama umetawala chuo. Hii ni kwa mujibu wa observation ya kusoma pale miaka mitatu nimegundua hayo. Ukitaka kuamini fanya uchunguzi wa watu wanao ajiriwa UDOM ni wa dini na kabila fulani fulani tu. Wengine hawana haki pale. Chuo kinaongozwa kama familia ya mtu!!
 
Hii umetokota asee, kama una kitu kingine kuhusu hicho labda lakini hapa umekaa kwenye mchanga uchi.
 
Taifa letu linapata hasara kugharamia masomo ya vijana kama hawa ambao pamoja na elimu yao bado wametopea katika umasikini wa kufikiri! Ndugu kabla ya kuanikiza mawazo yako huna budi kuja utafiti ambao ni lojiki siyo kwa hoja zako nyepesi nyepesi eti hakuna wahitimu wa udom walinaojihusisha na siasa. daaa shame on you
 
We jamaa mbona unatoa pointi nyepesi sana! nani alie kwambia udom inatoa elimu ya siasa tu, na nani alie kw
ambia siasa ni ajira. Acha mawazo mgando kaka badirika
 
Taalumaa ya Chuo kipi Ina manufaa kwa jamii ? Manufaa ya elimu ni kwa mwanafunzi mwenyewe vyuo vyote vya tanzsnia vinafana havina product bora
 
TAALUMA YA UDOM HAINA UKOMBOZI

Wadau wa JF,

Napenda naomba kutoa mawazo haya wazo ingawa najua wazi kuwa yatawauma walio wengi hususani kwa wale wenye watoto katika chuo hicho au wengine wanaosomea hapo moja kwa moja.

Tokea chuo hicho kianzishwe mnamo wa mwaka 2007 na mazao yake kuanza kupatikana mwaka 2010 hakuna mwanafunzi mmoja aliyeweza kusimama na kujinadi katika chaguzi mbalimbali hususani za 2010 na hata katika chaguzi ndogondogo zinazotarajiwa kufanyika feb 2 2014 hakuna hata jina moja ambalo liko tarajali kuingia katika kinyanganyiro hicho.

Kwa kuwa matumaini makubwa ya watanzania ni kuona wasomi wanakuwa chachu ya mabadiliko na ujenzi wa jamii mpya kiuchumi, kitamaduni hata kisiasa je wanafunzi hawa wanaomaliza katika chuo hicho hawana uwezo kiasi cha kutoweza kusimama mbele za watu?
Elimu inayotolewa hapo haina viwango vya kumuandaa mwanachuo kiasi cha kushindana na soko la sasa la ajira ambalo kwa sasa linakimbilia kwenye siasa?

inakuwaje vyuo vyenye wanafunzi wachache vinakuwa na ushawishi sana mtaani kisiasa na kijamii ukilinganisha na chuo hiki kinachochukua maelfu ya wanafunzi kwa mwaka hivi uongozi wa hapo haujashtuka kuwa huenda elimu inayotolewa hapo haiendani na matakwa ya maisha ya KITANZANIA ya sasa?

NAWASILISHA

Source: utafiti binafsi na wanafunzi wanaosoma UDOM

mimi binafsi si msomi kama wewe,ila napenda nikwambie kwamba nafas ya wasomi si lazima wagombee nafas za kisiasa,wasomi wanapaswa walete maendeleo kwa jamii kwa taaluma zao,hakuna sehem wanafundisha siasa,nachojua wanafundisha sayansi ya siasa ambayo c kwamba inakuandaa kuwa mwanasiasa,ndo maana Profesa Mukandara si mwanasiasa,kama unahisi wasomi wa vyuo vyetu wanapaswa kuleta mabadiliko via siasa unakosea sana,si UDOM,SUA,UDSM,ARU,wala chuo chochote,jiulize prof maji marefu ana degree ngapi??,sugu?,Na wengineo,useme au uulize udom imefanya tafiti ngapi zenye tija,na hapa ndo napoona vijana wa kitanzania wanapotoka,maana kwenye mavyuo wanajadili siasa,vyuon ni sehem za kusoma na kufanya tafiti na kuleta kwa serikali au wananchi,jamani mjue sisi walalahoi tuna wategemea sana nyie wasomi,huku vijiji mje mlete mrejesho,sasa ukimpata msomi kama ww unayeamin katika siasa,basi tena hakuna kitu,pole sana mdau Kalinzi
 
Last edited by a moderator:
Taalumaa ya Chuo kipi Ina manufaa kwa jamii ? Manufaa ya elimu ni kwa mwanafunzi mwenyewe vyuo vyote vya tanzsnia vinafana havina product bora

wewe nawe huna tofaut na Kalinzi,unakuja hapa na kuropoka,umefanya utafit????yaani kama nyie ndo wasomi wenyewe basi bora sie tusoingia darasani,
hebu nenda SUA kwenye library ya taifa ya kilimo,halafu uje hapa utuambie haya unayosema,hujasikia tafit za muhimbili???kusoma hamsom ila mnakuja kupiga soga hapa jf,na wewe nawe unajiona msomi,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom