Taaluma za kuheshimika na muhimu ni hizi sita (6) tu

Kijana rudia uchambuzi wako bado sana
 
Kila taaluma ina umuhimu na hakuna taaluma Bora kuliko nyingine zote ziko sawa na muhimu maana taaluma zinategemeana
Yaani maendeleo ya jamii alingane na daktari?
 
Yaani maendeleo ya jamii alingane na daktari?
Yes wanalingana maana wote wanatoa huduma kwa jamii na shughuli zao ni muhimu kujenga nchi yetu, hata mfagizi na mtumza mazingira naye ni WA muhimu ka alivo daktari, mwalimu, so we live by depending each other hakuna aliye Bora kuliko mwingine.
 
Mathematics vipi?
Taaluma mpya ya IT mnaionaje haifai kuingia hilo kundi.
Siku hizi heshima ni kuwa na pesa ndefu na umaarufu, unakuwa hata kongizi bila kusomea.
 
Kila mtu na maoni yake .....binafsi kichwa cha mada naona kimegusia ile namba moja tu ya Ualimu maana ndiyo taaluma kongwe kuliko zote duniani na ina umuhimu wa kipee, zilizo salia naona kama una nia zako binafsi
 
taaluma za bongo nazo ni taaluma?
 
Sitegemei kukutana na Mwalimu humu anajisifia taaluma yake. Ni ujinga
 
Toa policcm weka jeshi wale wanao vaa nguo za mabakamabaka
 
Ila cha ajabu walimu ndo wanadharaulika sn Tanzania
 
Aliyekuondoa govi na kuutoa mkono wa sweta haeshimiki au we ndo humuheshimu
 
Mkuu umesahau cheo muhimu Sana kinapatikana sokoni.

"Wachinja Kuku"
 
Wote hao Wakishamaliza shughuli zao waambie Sindano za Daktari zinawangoja [emoji3] na nafaka za mkulima hazitawaacha salama! Vinginevyo walale njaa!
 
Nakazia

Kila Mmoja Ni Muhimu Mkata Mkaa Ana Umuhimu Wake, Fundi Baiskeli Huwezi Kujua Umuhimu Wake Isipokuwa Wenye Baiskeli


Kwaujumla Umuhimu Wa Wote Hao Popote Walipo Ndiyo Tunapata Maendeleo Ya Taifa Lote
Acha uongo... bila wahandisi asingepata hiyo baiskeli wala panga la kukatia mkaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…