Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Travertine Magomeni kipindi kile Jahazi ya Mzee Yusuph ipo moto nilikuwa nakesha pale jumapili kuamkia jumatatu then kazini moja kwa moja hiyo. Bambia sana Mishangazi ya kiarabu/mishombe ya Migomigo na Kino.Equatorial Grill kwa Aziz Ally na Travetine Hotel Magomeni zilikuwa sehemu maarufu kwa kupiga live mziki wa Taarabu raia walikuwa wanajaa sana sio wanaume kwa wanawake.
Wapiga kinanda Thabit Abdul mtoto wa Ilala, producer Said Comorien,Allan Mapigo
watu wa darisalam kitambo munafaidi.Travertine Magomeni kipindi kile Jahazi ya Mzee Yusuph ipo moto nilikuwa nakesha pale jumapili kuamkia jumatatu then kazini moja kwa moja hiyo. Bambia sana Mishangazi ya kiarabu/mishombe ya Migomigo na Kino.
Maruperupe fatma mcharukoKuna ile. Mm sjui kuattach, maana hizo nyimbo sina kwa cm.
Heshimaa yangu imewatia kiburi mnanipaka matope eheeee
Aaah na utu wangu umewatia jeuri mnaona sjui mfanyaje..
Aha basi wenzanguuuuuu
Huo si ujabaliiii
Hayo ni malupe lupeee eheee
[emoji3][emoji3] enzi hizo. Utaiambia nn daslam na taarabu.
Mm kweli huwa napenda kuhudhuria show zao[emoji2]Kuna ile. Mm sjui kuattach, maana hizo nyimbo sina kwa cm.
Heshimaa yangu imewatia kiburi mnanipaka matope eheeee
Aaah na utu wangu umewatia jeuri mnaona sjui mfanyaje..
Aha basi wenzanguuuuuu
Huo si ujabaliiii
Hayo ni malupe lupeee eheee
[emoji3][emoji3] enzi hizo. Utaiambia nn daslam na taarabu.
Ndio mimi huyo sasa[emoji2][emoji2][emoji2]Ile misebene ya kwenye taarabu hata uwe gangster vipi kuna namna utaikubali tu.